MCHANGO

TUNAFURAHIA MCHANGO WAKO NA TUTASHUKURU SANA

Unakaribishwa kuleta mchango wako moja kwa moja kwa WAJANE HONEY PROJECT TANZANIA››› kwenye tovuti ya ARTEMED.

Utapata maelezo ya benki kwa ajili ya malipo ya kibanfsi. Tafadhali usisahau kuingiza

Please don’t forget to enter „WAJANE-ASALI-PROJECT Tanzania“ kama madhumini yaliyokusudiwa ili mchango wako uweze kuhifadhiwa kwa usahihi.

Barua ya shukurani ya dhati››› kutoka kwa wajane wa mikindani imetufikia.